Matokeo Leo, Simba SC 2-0 Al Masry,Simba yaibuka Mshindi

Matokeo Leo, Simba SC 2-0 Al Masry,Simba yaibuka Mshindi

#1

Matokeo Leo, Simba SC 2-0 Al Masry,Simba yaibuka Mshindi

Dakika 90 zimetamatika katika Dimba la Benjamini Mkapa ambapo Simba imevunja mwiko na kutunga nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika kwa mikwaju ya penati.

FT: Simba SC 2-0 Al Masry (Agg: 2-2 : Pen: 4-1).

Reply

image quote pre code