Connect with us

afyatips

Je,Unatakiwa kunywa maji kiasi gani kwa Usalama wa Figo Zako?

Doctor Ombeni

Published

on

Fahamu Figo ni moja ya viungo muhimu vya mwili wa mwanadamu, ambavyo vina majukumu mengi ya kuweka mwili katika afya njema.

Madaktari mara nyingi wanashauri kwamba ili kuweka figo kuwa na afya njema, kula kiasi cha chumvi, kuepuka sukari ya ziada na kutotumia dawa za maumivu bila ushauri wa daktari.

Hatua nyingine nyingi pia zinapendekezwa ili kuepuka shinikizo nyingi kwenye figo.

Kwa hivyo ni muhimu kunywa kiasi fulani cha maji ili kuweka figo kuwa na afya? Katika ripoti hii, tutajaribu kupata majibu kwa maswali haya.

Figo hufanya kazi ili kudumisha usawa wa electrolyte katika mwili wetu. Inadhibiti kiasi cha vipengele kama sodiamu na potasiamu.

Dkt. Vivekanand Jha, rais wa zamani wa Jumuiya ya Kimataifa ya Nephrology na mkurugenzi mtendaji wa Taasisi ya George ya Afya ya duniani, ni mtaalamu wa magonjwa ya figo.

Anasema, “Figo huondoa vitu visivyo vya lazima kutoka kwa mwili, ambavyo tunavipata kupitia chakula au kwa njia zingine. Na pia vitu ambavyo hutengenezwa mwilini kimetaboliki.”

Dkt. Vivekanand Jha anasema, “Figo pia huzalisha aina nyingi za homoni mwilini, ambazo ni pamoja na kutengeneza damu, homoni zinazodhibiti shinikizo la damu na homoni za kudumisha usawa wa elektroliti.”

Mtu wa kawaida anahitaji lita tatu hadi tatu na nusu za maji kila siku. Si lazima kwamba kiasi hiki kinatimizwa tu na maji ya kawaida. Inaweza kutimizwa na aina yoyote ya kioevu. Ikiwa tunadumisha usawa wa maji katika mwili, basi uwezekano wa maambukizi ya mkojo pia hupungua.”

“Kwa watu wanaougua ugonjwa wa moyo au figo, kiasi cha maji kinachotumiwa huzuiwa kidogo ili kisiwe na shinikizo kubwa kwa viungo hivyo.”

✚

Ushauri,Elimu,Tiba

Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)

🏆Certified| Doctor from Afyaclass. Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu ya jumla ya afya. Unapohitaji ushauri wa kina, uchunguzi, au matibabu binafsi, wasiliana na daktari kupitia namba:+255758286584.Pia tufwatilie kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Guest Avatar

LATEST POSTS

Utafiti1 day ago

Chumvi yenye Potasiamu Inaweza Kuzuia Vifo Karibu Milioni 3 Kila Mwaka

Chumvi yenye Potasiamu Inaweza Kuzuia Vifo Karibu Milioni 3 Kila Mwaka Vinavyosababishwa na Magonjwa ya Moyo na Kiharusi – Utafiti...

Afya News1 day ago

Mtoto Afariki Dunia kwa Surua Marekani, Vifo 3 Vyaripotiwa Wiki Hii

Mtoto mchanga afariki dunia kutokana na surua nchini Marekani, vifo vitatu vyaripotiwa wiki hii Mtoto mchanga nchini Marekani amefariki dunia...

CHANJO1 day ago

Chanjo Mbili Mpya za Ebola Kuongezwa kwenye Majaribio ya Kitabibu Huku Utafiti wa Tiba Ukiendelea

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa chanjo mbili mpya zinazofanyiwa utafiti dhidi ya ugonjwa wa Ebola zinatarajiwa kuongezwa kwenye...

Afya News2 days ago

Bodi ya Dawa nchini Kenya yaonya dhidi ya matumizi ya cetirizine kukaza au kukausha uke

Bodi ya Dawa nchini Kenya yaonya dhidi ya matumizi ya cetirizine kukaza au kukausha uke. Bodi ya Dawa na Sumu...

magonjwa2 days ago

Sababu ya mikono kufa ganzi

Sababu 12 Za Mikono Kufa Ganzi: DALILI HII INASABABISHWA NA NINI? Mikono kufa ganzi ni hali ambayo mtu hupoteza hisia...

Uzazi&Ujauzito3 days ago

Kubeba mimba baada ya kujifungua

Kubeba mimba baada ya kujifungua JE,NINAWEZA KUPATA MIMBA BAADA YA KUJIFUNGUA NA KABLA YA KUPATA HEDHI TENA? Ndiyo, kuna uwezekano...

Uzazi&Ujauzito6 years ago

Je,ninaweza Kupata Mimba baada ya kujifungua na kabla ya kupata hedhi tena?

JE,NINAWEZA KUPATA MIMBA BAADA YA KUJIFUNGUA NA KABLA YA KUPATA HEDHI TENA? Ndiyo, kuna uwezekano wa kupata ujauzito mara baada...

magonjwa2 years ago

TATIZO LA MGONGO KUWAKA MOTO,CHANZO NA MATIBABU YAKE

TATIZO LA MGONGO KUWAKA MOTO,CHANZO NA MATIBABU YAKE Tatizo hili la mgongo kuwaka moto hutokea kwa watu wengi na sio...

Utafiti5 days ago

Afya Kidijitali nchini Kenya: Jinsi Akili Bandia (AI) Inavyobadilisha Huduma Za Uuguzi

Teknolojia ya Akili Bandia (AI) inazidi kuwa na nafasi muhimu katika kuboresha huduma za afya nchini Kenya, ikiwasaidia wauguzi na...

afyatips5 days ago

Upungufu wa Vitamini D,Dalili Zake, Visababishi na Madhara Ambayo Unaweza Usiyatambue Mapema

Patient Story Via BBC;Sikujua nilikuwa na upungufu wa vitamini D hadi nilipozirai kazini’ Msichana mwenye umri wa miaka 23, Saskia...