Connect with us

magonjwa

Ugonjwa Wa Macho Kuwasha Chanzo Na Tiba

Doctor Ombeni

Published

on

Ugonjwa Wa Macho Kuwasha Chanzo Na Tiba

Tatizo la macho kuwasha ni tatizo ambalo huwapata watu wengi na kuleta kero kubwa kama vile kupikicha macho kila dakika, macho kutoa machozi yenyewe N.K

Chanzo Cha Tatizo La Kuwashwa Macho

Zipo sababu mbali mbali ambazo huweza kuchangia mtu kuwashwa macho,na miongoni mwa sababu hizo ni kama vile;

– Kuwa na allegy ya baadhi ya vitu kama vile, Maji ya kisima,maji ya mvua, Sabuni,mafuta,Moshi N.K

– Tatizo la Macho kuwa makavu(Dry Eye Syndrome): Tatizo hili hupelekea macho kukosa Ulainishi wa kutosha hivo hali ya kuwasha hutokea.

– Dalili za macho kushambuliwa na baadhi ya magonjwa  mbali mbali ya macho

– Macho kuingiwa na dawa,perfume,Moshi au kitu chochote chenye baadhi ya  kemikali

– Hali ya Vidonda,Michubuko au Vipele ndani ya Jicho

– Baadhi ya watu huwashwa sana na macho baada ya kuingiwa na Vitu kama vitunguu, hali ambayo huweza kukaa kwa muda kidogo kabla ya kuisha yenyewe

– Jicho kuingiwa na vitu kama mchanga, pilipili N.K

Dalili Za Tatizo La Kuwashwa Macho

– Kuhisi hali ya kuchoma ndani ya jicho

– Macho au jicho kubadilika rangi na kuwa jekundu

– Macho kutoa matongo tongo yenyewe

– Macho kuanza kutoa machozi yenyewe

– Macho kuwasha

MADHARA YA TATIZO LA KUWASHWA MACHO

– Macho kubadilika rangi na kuwa mekundu

– Huathiri uwezo wa uono wa macho yako

– Macho kuvimba

– Macho kutoa matongo tongo yenyewe

– Macho kutoa machozi yenyewe

– Kero ya kupikicha na kukuna macho kila dakika

MATIBABU YA TATIZO LA KUWASHWA MACHO

– Tiba hutegemea chanzo cha tatizo hili, lakini kwa upande wa dawa zipo dawa mbali mbali ambazo huweza kutumika kutibu tatizo hili kabsa.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

✚

Ushauri,Elimu,Tiba

Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)

🏆Certified| Doctor from Afyaclass. Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu ya jumla ya afya. Unapohitaji ushauri wa kina, uchunguzi, au matibabu binafsi, wasiliana na daktari kupitia namba:+255758286584.Pia tufwatilie kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Guest Avatar

LATEST POSTS

magonjwa ya wanawake10 hours ago

Madhara ya kuvurugika kwa homoni za kike (Hormonal Imbalance in women)

Kuvurugika kwa hormone au vichocheo ni nini? Kuvurugika kwa hormone au vichocheo hutokea pale mwili unapozalisha homoni kwa kiwango kikubwa...

Hospital18 hours ago

Muhimbili kufanya upasuaji wa kurejesha nguvu za kiume (Penile Implant Surgery)

Muhimbili kufanya upasuaji wa kurejesha nguvu za kiume (Penile Implant Surgery) Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imeendelea kuboresha huduma za kibingwa...

magonjwa ya watoto19 hours ago

Tatizo La Mtoto Kuzaliwa Kabla Ya Wakati wake(premature birth)

Tatizo La Mtoto Kuzaliwa Kabla Ya Wakati wake(premature birth) Maana ya mtoto njiti (Preterm Birth) Mtoto njiti ni mtoto anayezaliwa...

Afya News19 hours ago

Vifaa Tiba vya TSH.BILIONI 1.2 Kuimarisha huduma za dharura ya Uzazi na watoto wachanga

VIFAA TIBA VYA TSH.BILIONI 1.2 KUIMARISHA HUDUMA ZA DHARURA YA UZAZI NA WATOTO WACHANGA Na Mvuda Jaffer, WAF – Arusha...

Afya News4 days ago

Jukwaa la takwimu za afya barani Afrika kuanza rasmi Nairobi, Kenya

Jukwaa la takwimu za afya barani Afrika kuanza rasmi Nairobi, Kenya Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO),...

Patient Stories4 days ago

Glaucoma ilimnyang’anya uwezo wa kuona, lakini mikono yake ilimpa kusudi jipya la maisha

Glaucoma ilimnyang’anya uwezo wa kuona, lakini mikono yake ilimpa kusudi jipya la maisha Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 50...

Stars Health5 days ago

Joe biden aeleza hali yake ya saratani ya tezi dume kwa Sasa

Aliyekuwa Rais wa Marekani, Joe Biden, ameeleza kuwa ugonjwa wa saratani ya tezi dume (Prostate Cancer) unaendelea kuathiri shughuli zake...

Story5 days ago

Baadhi ya Watu huweza kuishi kwa kulala muda mfupi sana

Baadhi ya Watu huweza kuishi kwa kulala muda mfupi sana Baadhi ya watu wanaweza kuishi vizuri kwa usingizi mfupi sana....

masikio5 days ago

Madhara ya Masikio kupiga kelele (tinnitus) ni yapi?

Madhara ya Masikio kupiga kelele (tinnitus) Masikio kupiga kelele ni tatizo la kiafya linalojulikana kitaalamu kama Tinnitus. Hali hii hutokea...

Utafiti6 days ago

Utafiti: Wanawake nchini Kenya wanazaa watoto wachache kadiri vifo vya wajawazito vinavyoendelea kuwa changamoto

Utafiti mpya wa afya ya uzazi nchini Kenya umeonesha kuwa idadi ya watoto wanaozaliwa na mwanamke mmoja imeendelea kupungua, huku...