Connect with us

Stars Health

Zuchu na Diamond Platnumz Wapata Mtoto

afyaclass

Published

on

Msanii wa Tanzania, Diamond Platnumz na Mkewe Zuchu wamethibitisha ujio wa Mtoto wao baada ya Diamond kuchapisha picha ya kuwa Zuchu amejifungua salama.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, leo Agosti 2, 2026 Diamond ameandika “Welcome to the world, our precious little angel. You are already loved more than words can ever say!”

“Karibu duniani, malaika wetu mdogo wa thamani. Tayari unapendwa kuliko ambavyo maneno yanaweza kueleza.”

Ujio wa Mtoto huyo unakuja siku chache baada ya wawili hao kufanya Baby Shower, ambapo walikuwa wakisubiri kumpokea Mtoto wao wa Kike, hadi sasa jina la Mtoto halijatangazwa rasmi na Wazazi hao. Via#MillardAyoUPDATES

Karibu Afyaclass Jukwaa linaloongoza kwa utoaji wa elimu sahihi ya Afya. Hapa utapata Ushauri & Tiba,Elimu na Updates mbali mbali za Afya Duniani. Pia Pata dondoo za afya kila siku kwa kufuatilia kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *