Stars Health
Zuchu ni mjamzito,Zuchu apost picha za ujauzito wake
Zuchu ni mjamzito,Zuchu apost picha za ujauzito wake
Baba Levo ametoa ujumbe wake baada ya Zuchu kupost picha za ujauzito wake, katika ujumbe wake ameonyesha kuwa mtoto huyo ni wakike akisema kuwa atakuja kumaliza hizi hekaheka akimaanisha utofauti uliopo kati ya Zuchu na Diamond Platnumz
Ameandika “Namsubiri kwa hamu dada yangu❤️ yeye ndio atakuja kumaliza hizi hekaheka siku ifike tu jamani ajifungue salama”
Baby shower ya Msanii wa Bongo Fleva, Zuchu inaendelea jioni hii nyumbani kwake Mbezi Beach, Dar es salaam, huku taarifa zikieleza kuwa anatarajia kujifungua Mtoto wa kike.
Tukio hilo limewakutanisha Ndugu, Marafiki na Watu wa karibu kusherehekea ujio wa Mtoto anayesubiriwa.
