Connect with us

Patient Stories

ChatGPT yatuhumiwa kusababisha Kifo cha Wan mgonjwa wa kifafa

Avatar

Published

on

ChatGPT yatuhumiwa kusababisha Kifo cha Wan mgonjwa wa kifafa

Familia ya Bowen Wan (31), aliyekuwa Mhandisi wa programu za kompyuta katika Jiji la Seattle Nchini Marekani, imefungua kesi dhidi ya Kampuni ya OpenAI na Mkurugenzi Mkuu wake, Sam Altman ikidai kuwa ushauri alioupata kupitia ChatGPT ulichangia kifo chake.

Kwa mujibu wa madai ya familia hiyo, Januari 2026, Wan ambaye alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kifafa, alianza kutumia ChatGPT kutafuta ushauri kuhusu kupunguza matumizi ya dawa zake, akihofia kuwa zilikuwa zikiathiri uwezo wake wa kufikiri, kukumbuka na kuzungumza ambapo familia inadai kuwa ChatGPT ilimpatia mpango wa kupunguza dawa hizo hadi kuziacha bila usimamizi wa Daktari.

Wan alipatikana amefariki nyumbani kwake Februari 14, 2026, huku sababu rasmi ya kifo ikitajwa kuwa kifo cha ghafla kisichotarajiwa kinachohusishwa na kifafa (SUDEP) ambapo familia hiyo imedai kuwa kiwango kidogo cha dawa kilichopatikana kwenye damu yake kinaunga mkono madai yao kuhusu ushauri alioupata kupitia ChatGPT.

Wazazi wa Wan waliwasilisha kesi hiyo Oktoba 27, 2026, katika Mahakama Kuu ya California, Kaunti ya San Francisco, wakidai uzembe uliosababisha kifo cha Binti yao, huku OpenAI ikieleza kusikitishwa na tukio hilo, huku madai ya familia kuhusu mchango wa ChatGPT katika kifo hicho yakiwa bado hayajathibitishwa Mahakamani. Via#MillardAyo

✚

Ushauri,Elimu,Tiba

Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)

Karibu Afyaclass Jukwaa linaloongoza kwa utoaji wa elimu sahihi ya Afya. Hapa utapata Elimu na Updates mbali mbali za Afya Duniani. Pia Pata dondoo za afya kila siku kwa kufuatilia kupitia Mitandao hii hapa: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

LATEST POSTS

Utafiti1 day ago

Chumvi yenye Potasiamu Inaweza Kuzuia Vifo Karibu Milioni 3 Kila Mwaka

Chumvi yenye Potasiamu Inaweza Kuzuia Vifo Karibu Milioni 3 Kila Mwaka Vinavyosababishwa na Magonjwa ya Moyo na Kiharusi – Utafiti...

Afya News1 day ago

Mtoto Afariki Dunia kwa Surua Marekani, Vifo 3 Vyaripotiwa Wiki Hii

Mtoto mchanga afariki dunia kutokana na surua nchini Marekani, vifo vitatu vyaripotiwa wiki hii Mtoto mchanga nchini Marekani amefariki dunia...

CHANJO1 day ago

Chanjo Mbili Mpya za Ebola Kuongezwa kwenye Majaribio ya Kitabibu Huku Utafiti wa Tiba Ukiendelea

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa chanjo mbili mpya zinazofanyiwa utafiti dhidi ya ugonjwa wa Ebola zinatarajiwa kuongezwa kwenye...

Afya News2 days ago

Bodi ya Dawa nchini Kenya yaonya dhidi ya matumizi ya cetirizine kukaza au kukausha uke

Bodi ya Dawa nchini Kenya yaonya dhidi ya matumizi ya cetirizine kukaza au kukausha uke. Bodi ya Dawa na Sumu...

magonjwa2 days ago

Sababu ya mikono kufa ganzi

Sababu 12 Za Mikono Kufa Ganzi: DALILI HII INASABABISHWA NA NINI? Mikono kufa ganzi ni hali ambayo mtu hupoteza hisia...

Uzazi&Ujauzito3 days ago

Kubeba mimba baada ya kujifungua

Kubeba mimba baada ya kujifungua JE,NINAWEZA KUPATA MIMBA BAADA YA KUJIFUNGUA NA KABLA YA KUPATA HEDHI TENA? Ndiyo, kuna uwezekano...

Uzazi&Ujauzito6 years ago

Je,ninaweza Kupata Mimba baada ya kujifungua na kabla ya kupata hedhi tena?

JE,NINAWEZA KUPATA MIMBA BAADA YA KUJIFUNGUA NA KABLA YA KUPATA HEDHI TENA? Ndiyo, kuna uwezekano wa kupata ujauzito mara baada...

magonjwa2 years ago

TATIZO LA MGONGO KUWAKA MOTO,CHANZO NA MATIBABU YAKE

TATIZO LA MGONGO KUWAKA MOTO,CHANZO NA MATIBABU YAKE Tatizo hili la mgongo kuwaka moto hutokea kwa watu wengi na sio...

Utafiti5 days ago

Afya Kidijitali nchini Kenya: Jinsi Akili Bandia (AI) Inavyobadilisha Huduma Za Uuguzi

Teknolojia ya Akili Bandia (AI) inazidi kuwa na nafasi muhimu katika kuboresha huduma za afya nchini Kenya, ikiwasaidia wauguzi na...

afyatips5 days ago

Upungufu wa Vitamini D,Dalili Zake, Visababishi na Madhara Ambayo Unaweza Usiyatambue Mapema

Patient Story Via BBC;Sikujua nilikuwa na upungufu wa vitamini D hadi nilipozirai kazini’ Msichana mwenye umri wa miaka 23, Saskia...