Zaidi ya watu bilioni moja duniani wanaishi na changamoto za afya ya akili kama vile msongo wa mawazo na mfadhaiko, kwa mujibu wa takwimu mpya zilizotolewa...
Tafiti zinaonyesha kwamba,Kusikiliza nyimbo unazozipenda sana huweza kusaidia kuwa na Mudi nzuri(music therapy can have a positive impact on your mood). Hali hii ya kusikiliza nyimbo...
Vijana barubaru kukabiliwa Zaidi na changamoto ya Afya ya Akili – WHO Kwa mujibu wa Ripoti mpya iliyotolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO) uwekezaji wa...
Je! unajua kwamba Jua huweza kuimarisha afya yako ya akili? Tafiti zinaonyesha Mwangaza wa jua husaidia kuongeza kemikali katika ubongo wako inayoitwa serotonin, ambayo inaweza kukupa...
JE MTOTO HURITHI AKILI KUTOKA KWA MZAZI YUPI? Utafiti katika panya uligundua seli ambazo zilikuwa na genes za mama au za baba pekee katika sehemu sita...
DALILI ZA UGONJWA WA AKILI(PSYCHOSIS),CHANZO NA TIBA Kama una mojawapo ya dalili zifuatazo basi unaweza ukawa na ugonjwa wa akili,ukichaa (pyschosis) na unahitaji matibabu 1)Kusikia sauti...
Profesa wa Lishe kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA), Joyce Kinabo amesema ulaji hafifu shuleni utachangia watoto kukosa akili ya maisha na kujikwamua kutoka katika umaskini...