Wafunga Ndoa kwenye Korido ya hospital muda mfupi kabla ya Upasuaji hatari wa kichwa Upasuaji ukingoja, wanandoa hawa walichagua kufunga ndoa kwanza katika korido ya hospitali,,kabla...
Hadithi ya Sinenhlanhla Khoza Yazua Mjadala Mtandaoni Kisa cha Sinenhlanhla Khoza (31) kutoka Afrika Kusini kimezua mshangao mkubwa baada ya kuonekana akipata mabadiliko ya haraka ya...
Jamii ya Inchanga, mkoani KwaZulu-Natal nchini South Africa imekumbwa na mshtuko mkubwa baada ya mfamasia kijana, Nomzila Madinane, kuuawa kwa kupigwa risasi siku chache tu baada...
Mwanamke Aliyenusurika Mashambulizi ya 9/11 Asema Mwili Wake Unachoma Kutoka Ndani Mwanamke mmoja kutoka jimbo la Arizona nchini Marekani, Jenn Ashcraft, ambaye alinusurika mashambulizi mawili makubwa...
Sarah aeleza jinsi ambavyo alianza kuona dalili za Ugonjwa wa Mpox Ni Sarah huyu, mmoja wa waathiriwa wa ugonjwa huo katika kaunti ya Mombasa nchini Kenya....
Huyu ndiye Mwanaume mzee zaidi duniani aeleza siri yake Mwanaume mwenye umri mkubwa zaidi duniani ametangaza kuwa hana “siri ya kipekee” kueleza kuhusu kuishi kwake miaka mingi...
#PICHA:Wakunga kisiwani Zanzibar wakifurahia wakati wa maadhimisho ya siku ya wakunga duniani yaliyofanyika mjini Unguja. Kwa mujibu wa miongozo ya afya, mkunga mmoja anatakiwa kuhudumia mjamzito...