Hivi ni vidokezo rahisi vya kufuata ili kudhibiti Presha yako/Shinikizo la Damu;
1. Epuka Matumizi ya Pombe
2. Epuka ulaji wa vyakula vya Chumvi nyingi au Mafuta mengi
3. Punguza matumizi ya Sukari
4. Fanya Mazoezi ya mwili angalau kwa dakika 30 kila siku
5. Epuka kabsa matumizi ya Tumbaku au Sigara
6. Hakikisha unadhibiti Msongo wa mawazo haraka pale unapokuepo
7. Usikae peke yako,Shirikisha Ndugu na Marafiki wa karibu ikiwa una changamoto yoyote.
8. Hakikisha unaenda hosptal na kufuata Ushauri wa kitaalam ikiwemo matumizi sahihi ya dawa za kudhibiti Presha.