DALILI ZA MSONGO WA MAWAZO KWA MAMA BAADA YA KUJIFUNGUA
📸Msongo wa mawazo baada ya mama Kujifungua ambao huambatana na tabia za kutaka kujiua"Severe depression accompanied with suicidal behavior".🤔
.
DALILI ZA MSONGO WA MAWAZO KWA MAMA BAADA YA KUJIFUNGUA.😘
Utajuaje kuwa mama yupo kwenye msongo wa mawazo,ili umsaidie kumpeleka kupata ushaur wa kutosha au Deep conseling.#####
.
1-Mama kupoteza mood na tumain "hopeless" kabsa la kuishi hapa huonyesha tabia kama kutaka kujiua au kumuua mtoto.
Ukiona hali hii mama anahitaji msaada wa haraka
2-Mama kulia sana pasipo sababu zinazoeleweka
3-Difficulty bonding with baby(Mama kuwa mbali na mtoto)
4-Mama kuona aibu kwa watu na kujiona mkosaji kila mda na kwa kila anachokifanya
5-Mama kujiona kapoteza mvuto baada ya kujifungua na kila mda anaonekana kujihurumia
6-Mama kuwa na hofu kuu"severe anxiety"
@Zipo sababu ambazo zinachangia hali hii,see you next lesson
#msongowamawazo
#Severedepression
#ombenimkumbwa
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!