DALILI ZA TATIZO LA POLCYSTIC OVARIAN SYNDROME (PCOS)

  DALILI ZA TATIZO LA POLCYSTIC OVARIAN SYNDROME (PCOS)

➡️ Post

DALILI ZA PCOS

MATATIZO YA MZUNGUKO WA HEDHI(MENSTRUAL DYSFUNCTION);Wanawakwe wenye PCOS mara nyingi  hupata matatizo katika mfumo wao wa mzunguko wa hedhi,wanaweza wakawa hawapati kabisa hedhi kwa kipindi Fulani(amenorrhea),kupata hedhi kidogo na kua na mzunguko mrefu wa hedhi(oligoamenorhea) na wanaweza kua na mzunguko ambao unaeza kufika siku 35 au wanaona hedhi mara 8 kwa mwaka tu.wanawake wenye PCOS hupata maumivu wakati wa hedhi pia na yanaweza kua makali sana.


KUSHINDWA KUSHIKA UJAUZITO(ANOVULATORY INFERTILITY);Wanawake wenye PCOS hua na matatizo sana ya kushika mimba na huangaika sana kutafuta sababu bila kujua kua kuna kitu kinaitwa PCOS;kama tatizo likitatuliwa mapema basi mwanamke atapata mimba bila ya shida yeyote


Dalili zitaendelea.....

#doktamathew

Karibu Sana..!!




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!