FAHAMU CHANZO CHA MWANYA,KIDOTI,NA DIMPOZ

 1. KIDOTI- Kidoti hutokea pale ambapo Seli zinazounda ngozi zinakuwa kwa Kulundikana pamoja katika Ngozi, badala ya Kusambaa katika maeneo mbali mbali ya Ngozi

2. MWANYA- Mwanya hutokea endapo kutakosekana uwiano kati ya Size ya Meno na Size ya Mfupa wa Taya

3. DIMPOZ- Dimpoz huweza kutokea endapo kuna mapungufu katika misuli ya Zygomaticus major usoni na kupelekea Vishimo


KUMBUKA; Huu sio ugonjwa bali ni mapungu madogo madogo katika uumbaji wa mwili pamoja na Seli zake, na wala kuwepo kwa mwanya,kidoti,au Dimpoz hakuna madhara yoyote kiafya. Badala yake siku hizi imeonekana kama Fashion na pia kuongeza Mvuto kwa Mtu mwenye vitu hivi...


Kwa Ushauri zaidi,Elimu au tiba kwa Tatizo lolote tuwasiliane +255758286584

Karibu Sana..!!



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!