FAHAMU KIPIMO CHA KUPIMA MIMBA MAARUFU KAMA UPT

   JE UNAIFAHAM UPT?

UPT-kirefu chake ni urinary pregnancy test au ni kifaa cha kupima mimba kwa njia ya kutumia mkojo.

Kifaa hiki kikisoma mstari mmoja humaanisha "NEGATIVE" yaani huna mimba,Lakini kikisoma mistari miwili humaanisha "POSITIVE" yaani una mimba.

Usomaji wa kifaa hiki hutegemea uwepo wa kichocheo kiitwacho human chorionic gonadotrophin(HCG) kwenye mkojo. Na kichocheo hiki ili kiwepo kwenye mkojo ni mpka kizalishwe na placenta kutoka kwa mwanamke.

KUMBUKA;JUKUMU LANGU KWAKO NI KUKUSHAURI,KUKUELMISHA NA KUKUPA MSAADA WA KIAFYA PALE UNAPOHITAJIKA; +255758286584.

Karibu Sana..!!



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!