KUPATA BLID PASIPO KUTARAJIA
KUPATA BLID PASIPO KUTARAJIA.
Zipo sababu mbali mbali ambazo huweza kuchangia hali hii kwa MWANAMKE...
1-Unaweza kupata blid pasipo kutarajia kutokana na Mzunguko wako wa hedhi kutoeleweka au kitaalam tunaita "IRREGULAR MENSTRUAL CYCLE"
2-Kuwa katika hali ya STRESS AU MSONGO WA MAWAZO, HASIRA KALI, WOGA AU HOFU JUU YA KITU FLANI unaweza kupata blid pasipo wewe kutarajia.
3- Dalili za maambukizi ya magonjwa mbali mbali kama SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI.
4-Matumizi ya baadhi ya njia za UZAZI WA MPANGO.
HALI HII INAWEZA KUWA YA HATARI AU SIO YA HATARI KUTOKANA NA CHANZO CHA KUPATA HIYO BLID..
kwa wale pia wanaopata blid mara mbili au tatu kwa mwezi,wanaopata blid inayochukua mdamrefu mfano wiki mbili,au mwezi, na wale wanaopata blid yenye mabonge na nyeusi pia tuwasiliane +255758286584 kwa msaada zaidi.
KUMBUKA; JUKUMU LANGU NI KUKUSHAURI,KUKUELIMISHA NA KUKUPA MSAADA WA KIAFYA PALE INAPOHITAJIKA.....
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!