KUPATWA NA KIUNGULIA-HEARTBURN

   Je ushawahi Kupatwa na KIUNGULIA? soma maelezo hapa chini👇

KIUNGULIA- hutokana na vitu au content zilizopo tumboni kupanda katika njia ya chakula yaani Easophagus ambapo kitaalam hali hii huitwa REFLUX. Content hizo zina acid ndani yake( Hydrocholoric Acid),ambapo hii ikigusa njia ya chakula ndyo huleta hali ya kuchomwa=Kiungulia au Heartburn.

Kama una tatizo hili tuwasiliane kwa namba 0758286584,Tuma meseg utajibiwa kwa haraka zaidi.



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!