KUTOKWA NA DAMU NYINGI SANA WAKATI WA HEDHI
KUTOKWA NA DAMU NYINGI SANA WAKATI WA HEDHI.
Hali hii imekuwa ikitokea kwa wanawake wengi siku hizi.Mfano MWANAMKE aliyekuwa anabadilisha pedi mara tatu kwa siku sasa anabadilisha mara 8.n.k na mwanamke ambaye alikuwa anablid kwa siku tatu anablid kwa WIKI 2.
VIPO VISABABISHI MBALIMBALI VYA HALI HII IKIWEMO;
1-Mvurugiko wa vichocheo mwilini(hormone imbalance)
2- Uvimbe kwenye kizazi
3- Matumizi ya baadhi ya njia za UZAZI WA MPANGO
HIVO NI BAADHI TU LAKINI KUNA MAGONJWA KAMA YA INI AU FIGO, NA HALI YA DAMU YA MWANAMKE KUSHINDWA KUGANDA.
Njia rahisi ya kugundua kuwa una tatizo la kuvuja damu kupita kiasi wakati wa Hedhi ni ubadlishaji wa PEDI ya MWANAMKE KWA SIKU.
Kwa ushauri zaidi,elimu au msaada juu ya tatizo lako tufahamishane
*Jukumu langu kubwa ni kukushauri,kukuelimisha na kukupa msaada wa kiafya pale unapohitajika.Karibu tuijenge afya Bora*
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!