KUTOKWA NA UCHAFU SEHEMU ZA SIRI

 KUTOKWA NA UCHAFU SEHEMU ZA SIRI.

➡️ (imeandikwa na Ombeni Mkumbwa)

WANAWAKE wengi husumbuliwa na tatizo la kutokwa na uchafu sehemu za siri, lakini hawajui sababu ni nini! na wala hawajui cha kufanya.


Vitu muhimu vya kuangalia katika uchafu huo ni pamoja na; aina ya uchafu unaotoka,mwepesi au mzito,una rangi gani?,una harufu n.k

KWA ASILIMIA KUBWA UCHAFU KUTOKA SEHEM ZA SIRI HUCHANGIWA NA MAAMBUKIZI(INFECTION) YA MAGONJWA MBALI MBALI KAMA FANGASI,PID,

LAKINI PIA MATATIZO KAMA KUZIBA MIRIJA YA UZAZI.

Uchafu huo unaweza kuwa na rangi nyingi tofauti kulingana na aina ya ugonjwa au maambukizi.Mfano;cream,maziwa,njano,n.k NA kwa wakati mwingine huambatana na miwasho sehem za Siri.

.

JUKUMU LANGU NI KUKUELIMISHA,KUKUSHAURI NA KUKUSAIDIA KATIKA TATIZO LAKO, 

@Mawasiliano +255758286584.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!