KUWASHWA KWENYE NGOZI NA SEHEMU ZA SIRI

   Ugonjwa huu umekuwa ukiwasumbua watu wengi siku hizi,bila kujali umri au jinsia.

ZIPO SABABU MBALI MBALI KITAALAM AMBAZO HUCHANGIA HALI HII IKIWEMO; 

-Swala la allergy ambayo hutokana na vitu mbali mbali kama Maji(ya kisima,mvua n.k), baadhi ya mafuta ya kula,vyakula kama aina ya flani ya nyama mfano ya mbuzi,ng'ombe,kuku n.k. KUNA WATU WANA ALLERGY KUTOKANA NA VITU HIVI.

-Swala lingine ni Magonjwa kama FANGASI YA NGOZI, AU DAMU.ambayo hii matokeo yake huonekana moja kwa moja kwenyengozi na hali ya miwasho isiyoisha hujitokeza.

KAMA UNAPATA MUWASHO WA NGOZI AU SEHEM ZA SIRI PIA,TUWASILIANE +255758286584 UPATE MSAADA.

Karibu Sana..!!




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!