KUZAA WATOTO WATATU KWA MARA MOJA(TRIPLETS)

 KUZAA WATOTO WATATU KWA MARA MOJA(TRIPLETS).


Watu wengi hawafaham kwamba ukizaa watoto watatu hawaitwi TWINS bali kitaalam huitwa TRIPLETS.


Watoto hawa huzaliwa watatu,japo kwa asilimia kubwa watu wamezoea kuzaa watoto Mapacha ambao ni Wawili.


Mama akiwa mjamzito(MULTIPLE PREGANCY)    watoto hawa huanza kuonekana kwa kipimo cha ULTRASOUND,....

Ambapo kwa kutumia Ultrasound tutajua idadi ya watoto waliopo katika tumbo la mama.

JAPO VIPO VIASHIRIA MBALIMBALI AMBAVYO VINAWEZA KUONEKANA KWA NJE KAMA MAMA KUWA NA TUMBO KUBWA KULIKO KAWAIDA N.K


Je unapenda watoto mapacha?,Je unapenda TRIPLETS?


KWA MAONI KUHUSU UNACHOPENDA KUFAHAM ZAIDI KUHUSU AFYA YAKO MWANAMKE AU MTOTO,USISITE NIANDIKIE KWENYE COMMENT HAPO CHINI ILI TWENDE SAWA...


KUMBUKA;Jukumu langu ni kukuelemisha,kukushauri na kukupa msaada wa kiafya paleinapohitajika...!!!!! karibu

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!