MAKUNDI YA DAMU NA MADHARA YAKE
MAKUNDI YA DAMU NA MADHARA YAKE
➡️ Blood Group
MAKUNDI YA DAMU(Blood groups) PAMOJA NA MADHARA YANAYOTOKANA NA BAADHI YA MAKUNDI YA DAMU KWA MWANAMKE.
Makundi ya damu ambayo yanatumika sana ni A,B,AB na O.
ambapo hapo kuna kitu kinaitwa Rhesus Factor ndicho kitu kinachoangaliwa sna katika kuleta madhara kwa mwanamke hasa akiwa mjamzito.
MFANO; kama mwanamke ana blood group B Rhesus factor negative, pindi akibeba ujauzito, yupo kwenyehatar ya kupoteza Ujauzito au mtoto hasa hasa wa pili kujifungua kwahyo lazima apate msaada kama ana kundi lolote la Damu ambalo lina Rhesus factor NEGATIVE.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!