MATATIZO YANAYOWEZA KUKUMBA TITI
✓Maumivu makali ya titi ambapo hutokea karibia au wakati wa hedhi, Au kutokana na bacteria infection
✓Titi kutoa maziwa wakati hunyonyeshi wala sio mjamzito
✓Titi kuwa na vidonda ikiwemo sehemu ya Chuchu
✓Titi kutoa usaha au Damu.
✓Titi kuvimba
✓Chuchu kuingia ndani
Je ushawahi kupatwa na tatizo lolote kati ya haya? au umeona mtu mwenye shida yoyote ya titi? Weka comment yako hapo chini✍🏽
#afyacheck_ #titi
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!