MATOKEO YA MUINGILIANO WA RHESUS FACTOR KWA UJAUZITO(KWA MAMA MWENYE BLOOD GROUP NEGATIVE NA BABA POSITIVE) HASA KATIKA UJAUZITO WA PILI
MATOKEO YA MUINGILIANO WA RHESUS FACTOR KWA UJAUZITO(KWA MAMA MWENYE BLOOD GROUP NEGATIVE NA BABA POSITIVE) HASA KATIKA UJAUZITO WA PILI
1) Mtoto alieo tumboni kupungukiwa damu (Fetal anemia)
2) Mtoto kuvimba akiwa tumboni (oedema)
3) Mtoto kuvimba tumbo akiwa tumboni (ascitis)
4) Moyo wa mtoto kujaa maji akiwa tumboni (pericardial effusion)
5) Mapafu ya mtoto kujaa maji (pleural effusion)
6) Mtoto kufia tumboni (IUFD)
7) Mimba kuharibika (misacariage)
JE HALI HII HUTAMBULIWAJE?
Kutambua kama kuna muingiliano wa rhesus kwa ujauzito Fulani vipo vipimo vya kuangalia kama mtoto ana shida yeyote au la;vilevile vipo vipimo vya kuangalia kama mama ametengeneza kingamwili kwa ajili ya kumshambulia mtoto au la. Vipimo hivo ni kama ultrasounds,kupima maji ya mtoto(amniotic fluid analysis),kupima damu ya mama na mtoto aliepo tumboni na aliezaliwa.
Vipimo hivi hufanyika ili kubaini kama kuna madhara makubwa kwa mtoto ili kusaidia katika kumtibu,mfano kwa walioendelea hua wakikuta mtoto aliepo tumboni ana upungufu mkubwa wa damu basi huongezewa damu na kupata dawa zingine akiwa humo humo tumboni na hivo kuokoa maisha yake.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!