MATOKEO YA MVURUGIKO WA VICHOCHEO VINGI MWILINI KWA MWANAMKE

 MATOKEO YA MVURUGIKO WA VICHOCHEO VINGI MWILINI KWA MWANAMKE

➡️ Ombeni Mkumbwa

Zipo dalili mbalimbali ambazo huonyesha vichocheo vingi katika mwili wa MWANAMKE havipo sawa,ikiwemo vile vichocheo vinavyohusiana na ukuaji wa mwili kwa Mwanamke.


DALILI HIZO NI KAMA IFUATAVYO;

(1) MWANAMKE KUOTA NYWELE NYINGI KATIKA MAENEO MBALI MBALI YA MWILI WAKE,IKIWEMO NDEVU KAMA MWANAUME


(2)MWANAMKE KUWA NA KIPARA


(3)MWANAMKE KUPATWA NA HALI YA KUWA NA CHUNUSI NYINGI USONI AMBAZO HAZIISHI


(4) MWANAMKE KUWA NA MZUNGUKO WA HEDHI USIYOELEWEKA


(5) MWANAMKE KUSHINDWA KUSHIKA MIMBA(INFERTILITY) AU MIMBA KUTOKA KILA AKISHIKA UJAUZITO N.K


KUMBUKA; JUKUMU LANGU NI KUKUSHAURI,KUKUELIMISHA NA KUKUPA MSAADA WA KIAFYA PALE INAPOHITAJIKA..+255758286584(PHONE NUMBER)

Karibu Sana..!!!



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!