JE, WAJUA VYANZO VYA MAUMIVU YA KIUNO, NYONGA, NA TUMBO LA CHINI KWA WANAWAKE?
(@kwa ushauri,elimu,au msaada juu ya afya yako MWANAMKE +255758286584)
Maumivu ya kiuno,nyonga,au tumbo chini ya kitovu, yanaweza kusababishwa na tatizo moja au zaidi kama ifuatavyo;
Matatizo kwenye mfumo wa uzazi
Vivimbe kwenye kuta za tumbo la uzazi
Hali ya tishu zinazoota ndani ya ukuta wa uzazi(endometriosis) au kuota nje ya ukuta wa mji wa uzazi.
Maumivu wakati wa hedhi ambayo hutokana na vivimbe katika kuta za tumbo la uzazi
Mimba kutunga nje kizazi(ectopic pregnancy)
Maumivu yanayotokea upande mmoja chini ya kitovu katikati ya mzunguko wa hedhi yaani siku ya 14
Saratani kwenye mifuko ya mayai
Maambukizi kwenye mfumo wa uzazi ambayo hutokana na bakteria wanaosababisha kisonono, na klamidia,UTI,PID au Fangasi. Watu wengi wamekuwa wakipatwa na magonjwa haya pale wanapojaribu kupata ujauzito bila mafanikio(ugumba) au wanaposumbuliwa kwa muda mrefu na Maumivu ya kiuno na nyonga.
Vivimbe kwenye kuta za kizazi(uterine fibroids) ambavyo hutokana na mvugiko wa homoni ama kurithi kwa vinasaba.
Maumivu kwenye via vya uzazi ambayo husababisha kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu ama kushindwa kukaa kwa muda mrefu
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!