MTOTO KUCHEUA BAADA YA KUNYONYA(Infant Reflux)

➡️ SABABU ZA MTOTO KUCHEUA MARA TU BAADA YA KUNYONYA

Kwa kawaida mtoto hucheua baada ya kunyonya lakini mara nyingine kucheua kwa mtoto hutokana na


1. Allergic gastroenteritis- Mzio (Allergy) wa protini inayopatikana kwenye maziwa ya ng’ombe


2. Gastroesophageal reflux disease (GERD)-Huu ni ugonjwa unaosababishwa na kucheua kwa tindikali inayotoka tumboni ambayo pia huharibu kuta za mrija wa kupitisha chakula (oesophagus).Kitu chochote kile kinachoongeza presha (Intra-abdominal pressure) chini ya lower oesophageal sphincter kama uzito ulopitiliza (obesity), kutopata choo kwa muda (constipation), baadhi ya vyakula, vinywaji na baadhi ya dawa husababisha GERD.


3. Eosinophilic oesophagitis- Hali inayotokana na kukusanyika kwa wingi kwa chembechembe za damu aina ya eosinophils na hivyo kuharibu kuta za mrija wa kupitisha chakula.


4. Mrija wa chakula kuwa mwembamba/kuziba hali inayojulikana kitaalamu kama oesophageal stricture au sehemu ya misuli kati ya tumbo na mrija wa chakula kuwa nyembamba au kuziba nayo hujulikana kwa kitaalamu  kama pyloric stenosis

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!