MTOTO KUZALIWA NA MKIA kitaalam huitwa (VESTIGIAL TAILS).

 MTOTO KUZALIWA NA MKIA kitaalam huitwa (VESTIGIAL TAILS).

➡️ Vestigial Tails

Mtoto anaweza kuzaliwa na mkia ambapo hali hii ikitokea haimaanishi haina tiba yoyote,Bali mkia huu unaweza kufungwa kitaalam na kukatwa na mtoto wako akarudi katika hali ya kawaida.

Vestigial Tails ni kitu ambacho kweli kipo na kinatibika kabsa wala sio kulogwa kama wengine wanavyofikiria.

JE WEWE USHAWAHI KUONA MTOTO MWENYE MKIA? JIBU NDIYO AU HAPANA KWENYE COMMENT HAPO CHINI.👇

Kwa ushauri,elimu,tiba au msaada wowote wa kiafya,tuwasiliane kwa namba 0758286584 ili tukusaidie kwa Haraka. Tuma MESEGI utajibiwa kwa haraka 



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!