MTOTO KUZALIWA NA UTANDO MWEUPE

 UZUSHI: MTOTO KUZALIWA NA UTANDO MWEUPE ETI NI KWA SABABU MAMA MJAMZITO ALIFANYA MAPENZI HASA AKIWA KARIBU NA KUJIFUNGUA.

SIO KWELI: Utando huu mweupe kitaalam huitwa "vernix caseosa" na hutokea kwa lengo la kumlinda mtoto hasa akiwa ndani,hutumika kama protective Cover kutokana na hali ya mazingira ya ndani.Kwahyo hii humfanya mtoto kuwa salama zaidi.

✓Je na wewe umeshawahi kusikia Uzushi huu? Jibu ndyo au Hapana kwenye comment hapo chini twende sawa👇

Kama pia unahitaji ushauri,elimu au una tatizo lolote la kiafya tuwasiliane kupitia namba 0758286584,Tuma mesegi utajibiwa kwa haraka zaidi

Follow us on Instagram: @afyacheck_

Karibu Sana..!!



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!