MWANAMKE KUPATA MIMBA AU UJAUZITO

  MWANAMKE KUPATA MIMBA AU UJAUZITO

➡️ Post

 Ili MWANAMKE APATE MIMBA;

1.Laazma Awe amepevusha YAI,yaan yai Liwe limekomaa na kutoka kwenye Mfuko wa Mayai na Kufika kwenye Mrija wa Mayai kama Hiyo Video(Tunaita OVULATION).hivo mwanamke asipopevusha Yai au mayai  hawezi kupata MIMBA.


2.Laazma Mirija iwe Wazi yaan isiwe Imeziba,maana ndio Njia Ya Yai/mayai na Mbegu za Kiume laazma zipite Hapo pamoja Na KUKUTANA kwa mbegu za mwanaumr yaan Sperms na YAI kama Mirija IMEZIBA mwanamke hawezi pata Mimba


3.lakin pia Kizazi,mfuko wa uzazi yaan UTERUS uwe umeandaliwa vizur huwa kipindi cha siku za hatari kuta Hujaa vizur na kuwa Imara zaid ili kuweza kupokea MTOTO na makuzi Kuendelea Hapo.


4.Laazma kuwa na MBEGU ZENYE UBORA,na NYINGI  ZA mwanaume.

Mbegu kama hazina Ubora,mbegu kama CHACHE sio Rahis mwanamke Kupata Mimba


5.Laazma Pia HOMON za mwanamke Ziwe zime balance vizur ili Kupevusha mayai lakin Pia kuweza Kuimiri Mimba IKUE.


Mimba Zinatofautiana ukubwan,ila MWANZON HATUA HIZO ZOTE LAAZMA ZIFANYIKE na MTOTO AKUE SALAMA mama ajifungue

CR:@uzazipoint

Karibu Sana..!!



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!