MWANAMKE KUTOKWA NA UCHAFU SEHEMU ZA SIRI

  Mwanamke kutokwa na uchafu wenye rangi tofauti mfano maziwa au manjano,mzito na wenye harufu kali sio dalili nzuri.

Hii inaweza kuwa dalili au viashiria vya magonjwa kama PID,FANGASI AU UTI. Na wakati mwingine unakuta mwanamke huyu analalamika pia miwasho ukeni, maumivu ya kiuno, mgongo,kuchomwa wakati anakojoa, pamoja na kupata maumivu makali wakati wa Tendo la Ndoa.

Je ni sawa kukaa na hali hii bila kupata matibabu? Comment hapo chini👇🏾

KUMBUKA; JUKUMU LANGU KWAKO NI KUKUSHAURI,KUKUELIMISHA NA KUKUPA MSAADA WA KIAFYA PALE UNAPOHITAJIKA

(Mawasiliano ni 0758286584,tuma Ujumbe utajibiwa haraka zaidi📲)

Karibu Sana..!!



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!