NGUO ZA NDANI NA FANGASI SEHEMU ZA SIRI
Moja ya vitu ambavyo huweza kuwa chanzo kikubwa cha Kuleta Fangasi Sehemu za Siri ni Pamoja Na Nguo za Ndani, Hakikisha Unafanya Yafuatayo;
1. Vaa Nguo ya Ndani ambayo imekauka vizuri, na usivae Nguo ya Ndani yenye unyevunyevu au majimaji kwani hutengeneza mazingira ya uwepo wa Fangasi
2. Hakikisha unaanika Nguo ya Ndani sehemu salama,Mfano Kwenye kamba huku ikipigwa na Jua vizuri na kuakua vizuri
3. Sio afya sana kuanika Nguo ya Ndani kwenye Kitanda Sehemu unapolala.
4. Kupiga pass Nguo ya Ndani sio dawa ya kukutibu wewe fangasi,Japo huweza kusaidia Nguo yako ya Ndani kukauka vizuri na kuua vijidudu.
@Kwa Ushauri zaidi/Elimu/Tiba +255758287584
afya
afyaclass
afyatips
magonjwa
magonjwa ya wanaume
magonjwa ya wanawake
magonjwa ya watoto
makala
muhimu
new
post
uzazi
videos
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!