TABIA ZA UJAUZITO KATI YA MWANAMKE NA MWANAMKE

 TABIA ZA UJAUZITO KATI YA MWANAMKE NA MWANAMKE.

Kuna wengine baada ya kuwa na Ujauzito hutokea sana kuwapenda waume zao, kuwapenda baadhi ya watoto walio nao,au baadhi ya watu flani hata kama hawana undugu.

Kuna wengine baada ya kupata mimba,huanza kuwachukia sana baadhi ya watu mfano MUME,baadhi ya WATOTO,au hata baadhi ya watu flani kwenye JAMII.


UJAUZITO UNAWEZA KUKUFANYA UPENDE BAADHI YA HARUFU ZA VITU FLANI NA KUCHUKIA HARUFU ZA VITU FLANI.MFANO KWA BAADHI YA WATU HUCHUKIA PERFUME FLAN,N.K.

Wengine hupenda harufu flani hata za vitu vichafu.MFANO HARUFU YA MKOJO.


Ujauzito unaweza kubadilisha kabsa LIFESTYLE yako nakuanza kuchagua baadhi ya vyakula. 

LAKINI PIA HATA STAYLE YA UVAAJI INABIDI IBADILIKE KULINGANA NA HALI YA UJAUZITO,IKIANZIWA NA;


1-kutokuvaa viatu virefu

2-Kutokuvaa nguo zinazobana,mikanda n.k.


PIA KUWA MWANGALIFU HATA KATIKA MATUMIZI YA DAWA,MAANA BAADHI YA DAWA ZINA MADHARA MAKUBWA KWA MJAMZITO. *Jukumu langu ni kukuelimisha,kukushauri na kukupa msaada wa kafya pale inapohitajika.Karibu tuijenge afya Bora.*

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!