TATIZO LA MIMBA ZA UTOTONI
Mimba za Utotoni(Teenage Pregnancy). Kwa Tanzania tunaweza tukasema ukipata mimba chini ya Miaka 18 upo kwenye kundi hili la mimba za utotoni.
.
Point yangu ni kwamba,mimba za utotoni zina madhara kila kona katika maisha ya mhusika,Lakini pia jamii yake.
.
Madhara ni pamoja na mtoto kufukuzwa shule, kupoteza Dira ya maisha, Lakini pia kupatwa na madhara makubwa ya kiafya kama kujifungua kwa Upasuaji,Kupoteza maisha wakati wa kujifungua n.k.
.
Takwimu zinaonyesha kuwa asilimia kubwa ya wanawake waliopata mimba au ujauzito katika umri mdogo hujifungua kwa UPASUAJI.
.
Maisha ya kuwa mama Yanahitaji maandalizi, Swala la Mimba za utotoni huchangiwa na sababu nyingi,ikiwemo hali ya kiuchumi,vishawishi, Mambo ya mila pia kama swala la NDOA ZA UTOTONI.
@Naomba utambue mimba za utotoni huharibu maisha ya mwanamke,
#mimbazautotoni
#ombenimkumbwa
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!