TATIZO LA ULIMI KUPASUKA
Tatizo hili kiufupi , halihitaji tiba , isitoshe kisababishi hakijulikani , waweza tumia Vitamin B na C , huweza punguza kidogo tatizo , japo sio sana . Kunywa maji ya kutosha pia
.
.
.
💃 USHAURI
.
Ubaya wa hii mipasuko ni kwamba endapo chakula kitabakia kwenye hiyo mipasuko , itapelekea bacteria kuzaliana , maumivu na hata kupelekea harufu mbaya ya kinywa na hata kuchangia meno kuharibika
.
.
Muhusika pia anakua katika mazingira marahisi ya kushambuliwa na fungus wa kinywa (candinda ablicans) , ikiwa imekutokea basi dawa zipo , onana na daktari
.
.
◾Hakikisha unafanya usafi wa kinywa angalau mara mbili kila siku , na uwe na utaratibu wa kumuona daktari wa meno angalau mara mbili kwa mwaka
__________________________
Consultation 📲+255758286584
#afyaclass
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!