TETENASI NA AINA ZA VIDONDA AMBAVYO TETENASI HUWEZA KUSHAMBULIA KWA HARAKA
TETENASI
AINA ZA VIDONDA AMBAVYO TETENASI HUWEZA KUSHAMBULIA KWA HARAKA
1.Kidonda ambacho hakipo katika hali ya usafi
.
.
2.Kidonda kilicho chimbika sana.
.
3.Kidonda kilichotokana na moto (kuungua) chenye mzunguko wa damu chache.
.
4.Kidonda kilichotokana na Upasuaji uliofanywa navifaa ambanyo siyo salama (havikuoshwa vizuri na kutunzwa mbali na mazingira ambayo bacteria wanaweza kukaa na kuzaliana)
.
5.Kidonda kilichotokana na mtu kujikata na kitu chenye ncha kali kama vile Bati, kujichoma na Msumali au kuumia kutokana na ajari ya Gari, Pikipki n.k.
.
6.Kwa watoto wachanga katika kitovu kilichokatwa ambacho bado hakijapona na pia vifaa ambavyo siyo salama vilivyotumika kukata kitovu.
.
7.Kwa mwanamke aliyetoa mimba au kujifungua kwa kutumia vifaa ambavyo sio salama
.
8.Kidonda kinachotoa usaa au majimaji
KUMBUKA; Endapo kwa bahati mbaya umechomwa na vitu vywenye ncha kali kama Misumari,kukatwa na mabati,Chupa n.k, usikae tu nyumbani Nenda hosptal kapate chanjo ya Kuzuia Tetenasi
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!