UGONJWA WA PARONYCHIA

   ☑️ HUU UGONJWA UNAITWA PARONYCHIA

.
Ni maambukizi katika kucha na maeneo jirani na kucha kama kwenye hio picha inavoonekana.
.
Ugonjwa huu unaweza kusababishwa na vimelea kama bakteria,kuvu nk
.
Ugonjwa huu huwapata sana wafuatao
.
1) Wanawake Wa ndani(housegirl)
2) wanaume Wa ndani(houseboy)
3) wajenzi
4) wakulima
5) wanaofanya mapenzi na vidole

Waliokwenye hatari ya kupata ugonjwa huu ni wanawake,wanaofua nguo Mara kwa Mara,wanaopenda kung'ata kucha,wakulima,wenye upungufu Wa kinga kama kisukari,UKIMWI,sararani nk

Ugonjwa huu unatibika vizuri sana. Nenda hospital kupata Tiba

Karibu Sana..!!



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!