YAI LA MWANAMKE NA MBEGU YA MWANAUME

 Yai la mwanamke(ovum) linapotoka kwenye vifuko vyake(ovaries) ambapo kitendo hicho kitaalam huitwa "OVULATION" na kuingia kwenye mirija ya uzazi yaani Fallopian tubes,Ndipo huanza kukutana na mbegu za kiume(Sperms) na hatua ya kwanza ya kutengeneza mtoto huanzia hapo(FERTILIZATION).

Siku ambapo yai linatoka kwenye vifuko vyake,ndyo tunaita SIKU YA HATARI-Tukiwa na maana kwamba ni siku ambayo mwanamke anaweza kupata MIMBA.

JE UNAZIJUA SIKU ZA HATARI KWAKO?

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!