MAZOEZI YA MWILI
Kuna aina nyingi sana za mazoezi ya mwili pamoja na Viungo. Lakini pia watu wengi hawajui umuhim wa kufanya Mazoezi ya mwili kila siku.
Aina za baadhi ya Mazoezi ni kama;
- Kuna mazoezi ya kucheza Mpira,mfano; mpira wa miguu,kikapu n.k
- Kuna mazoezi ya kuruka kamba
- kuna mazoezi ya viungo tu
- Kuna mazoezi ya Jim
- N.K
UMUHIMU WA KUFANYA MAZOEZI NI PAMOJA NA;
- Kuimarisha kinga ya Mwili na kukukinga na magonjwa mbalimbali
- Kuimarisha na kuleta nguvu katika misuli ya mwili
- Kuleta uhai katika seli hai za mwili
- Kuimarisha mzunguko wa damu hivo kusaidia vidonda kupona haraka,Mfano kwa mama ambaye alijifungua kwa Njia ya upasuaji
- Kusaidia kuondoa stress kwa Mtu
- Mazoezi huleta furaha
- Mazoezi hujenga Urafiki kati ya mtu na mtu
- Mazoezi husaidia kupunguza Uzito kwa wale ambao wana Uzito uliozidi.
JE WEWE UNAFANYA MAZOEZI?
@kwa ushauri zaidi,Elimu au Tiba tuwasiliane kwa namba +255758286584.
afya
afyaclass
afyatips
magonjwa
magonjwa ya wanaume
magonjwa ya wanawake
magonjwa ya watoto
makala
muhimu
new
post
uzazi
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!