ATHARI ZA KUBEBA WALLET MFUKO WA NYUMA WA SURUALI

WALLET MFUKO WA NYUMA

• • • • • •

ATHARI ZA KUBEBA WALLET MFUKO WA NYUMA WA SURUALI


Watu wengi hawajui kwamba kuna madhara makubwa ya kubeba wallet kwa Mfuko wa nyuma wa Suruali hasa pale ikiwa imejaa na ina uzito.


Athari hizo ni Pamoja na;


- Kupata Ganzi kwenye paja la nyuma pamoja na kalio kama umekaa kwa Mda mrefu


- Kupata pia maumivu makali eneo hilo hilo la paja la Nyuma na kalio ambao umebebea wallet yako


- Hali hii huja baada ya kubonyezwa kwa Neva ya Sciatica kutokana na Wallet uliyobeba


- Athari nyingine ambazo huweza kutokea ni pamoja na kuufanya mgongo wa mhusika kuinamia upande Mmoja


JE WEWE NI MBEBAJI WA WALLET KWA STAILI HII? ACHA MARA MOJA.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!