BARAFU+MAUMIVU
• • • • • •
Barafu ni nzuri kwa maumivu ya papo hapo yanayotokea mwilini kuliko maji ya moto. Huongeza usambazwaji wa damu,hupunguza maumivu,uvimbe,maambukizi pamoja na kujivuta (kukakamaa/kukaza) kwa misuli ya mwili.Ni nzuri sana kutumika baada ya mazoezi au kazi yoyote inayoweza kusababisha maumivu ya mwili.
-
Maji ya moto hufaa kwa maumivu yaliyodumu kwa muda mrefu. Anza na barafu,kama maumivu yako yanaendelea bila kukoma tumia maji ya moto!
Via sainiyaafya
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
afya
afyaclass
afyatips
magonjwa
magonjwa ya wanaume
magonjwa ya wanawake
magonjwa ya watoto
makala
mpya
muhimu
new
post
uzazi
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!