CHANGAMOTO WANAZOPITIA WANAWAKE
Impower the women,Wanawake wanapitia changamoto nyingi sana katika safar ya maisha,Lakini pia mwanamke ni kiwanda cha kufwatua matofali"watu".
.
Mwanamke anapojifungua anahitaji faraja sana kutokana na safar ndefu aliyoipitia katika kipind chake cha ujauzito
.
Mwingine kabeba ujauzito wiki 37,mwingine 38,mwingine 42, na hata mwingine huambiwa kabeba ujauzito mpaka mda wa kujifungua umepita bado yupo na kiumbe tumboni
.
Hongera kwa ujasiri huu mwanamke
#mwanamke
#ushindi
#ombenimkumbwa
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!