CHUMVI KUPANDISHA PRESHA
ULAJI WA CHUMVI NYINGI NA PRESHA
Ulaji wa Chumvi nyingi huweza kuwa miongoni mwa sababu kubwa za kupandisha presha yako.
Hasa hasa ile chumvi ya kuwekwa wakati chakula kimeshapikwa tayari kipo mezani, Hii ni kutokana na uwepo wa SODIUM kwenye mchumvi ambayo huweza kupandisha presha kwa haraka zaidi.
Kama una tabia hii acha kwa ajili ya afya yako
KUMBUKA; Kinga ni bora zaidi kuliko Tiba
Kw ushauri zaidi,elimu au Tiba tuwasiliane kwa namba +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!