DALILI ZA MAGONJWA YALETAYO VIDONDA SEHEMU ZA SIRI

đŸ”»DALILI ZA MAGONJWA YALETAYO VIDONDA SEHEMU ZA SIRI


Kidonda kidogo sehemu za siri uumeni au katika mashavu ya uke.

– Kuvimba mitoki nyongani

– Maumivu wakati wa kukojoa.

– Kwa pangusa kidonda huuma sana na kichafu/hutoa damu kikiguswa –panguswa.

– Kutoka mimba

– Kuzaa watoto njiti

– Kukatika uume

– Kuzaa watoto walioambukizwa kaswende (Congenital syphilis)

– Kaswende ya moyo na mishipa ya fahamu

VIOTEA SEHEMU ZA SIRI(GENITAL WARTS)

Viotea sehemu za siri  husababishwa na virusi kama HPV 6,11,16 na 18. na kama havikutibiwa huweza kusababisha madhara kama vidonda , kukatika uume, kukatika shavu la uuke kuziba njia au kubadilika na kuwa kansa!! NJIA KUU ZINAZOSABABISHA MAAMBUKIZI YA MAGONJWA YA NGONO:

• Kujamiana

• Kuzaliwa na Maambukizi

• Kuwekewa Damu yenye Maambukizi

Baadhi ya Mambo yanayochangia kuongezeka kwa Magonjwa ya Ngono:

• Kujamiana bila Kondomu kwa njia ya Ukeni, Mdomoni, au ya Haja kubwa.

• Kuwa na uhusiano wa Kimapenzi na Wenzi wengi wakiwemo

.

Itaendelea... DR. mathew

.

.

.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!