MTINDIO
• • • • • •
DALILI ZA MTOTO KUWA NA MTINDIO WA UBONGO
01. Mtoto kutoonyesha dalili yoyote ya kulia au anaweza kulia kwa kiasi kidogo
02. Mtoto kuchelewa kutembea na hata kuongea.
03. Mtoto haonyeshi kuvutiwa na mazingira yanayomzunguka, kwa maana kwamba hata kama kuna vitu vya kuchezea hawezi kujishughulisha navyo.
Dalili nyingine ni
¶ Mtoto kuwa mgumu kufundishika na hata kujifunza kusoma huwa ni kazi ngumu ukilinganisha na watoto wa rika lake
¶ Hawezi kula mwenyewe, kuvaa mwenyewe au kujifunza kutumia choo.
Zipo dalili nyingi zinazoweza kujitokeza na mara nyingi zinatambuliwa na madaktari maalum wa watoto.
Watoto wenye matatizo hayo wako wa aina mbili, wapo wenye ulemavu wa akili na wenye mtindio wa ubongo kwa wakati mmoja.
Aina hizo zinatofautiana; mtoto aliyeharibika mota ya ubongo kwa kiasi kikubwa hupatwa na mtindio wa ubongo tu.
Kama mtoto atakuwa ametindia ubongo upande wa kushoto, madhara yataonekana upande wa kulia kwa mtoto kuburuza mguu na mkono kutofanya kazi na endapo itatokea kwa upande mwingine, inaweza kusababisha ugonjwa wa kifafa kwa mtoto.
Ikiwa mota ya fahamu haikuharibika, basi mtoto atapatwa na ulemavu wa viungo.
Baadhi ya Sababu Zinazopelekea Mtindio wa Ubungo KWA Watoto:
01. Matumizi ya Madawa makali wakati wa ujauzito pasipo maelekezo ya daktari
02. Matumizi ya pombe na Madewa ya kulevya wakati wa ujauzito
03. Viasili, Kurithi kutokana na historia ya ukoo au familia kuwa na mtu wenye tatizo LA mtindio wa ubongo
Kisababishi kingine cha mtindio wa ubongo ni pale mama anapochelewa kupata huduma ya uzazi anapofikia hatua ya kujifungua ama wauguzi kushindwa kuchukua hatua za haraka baada ya kubaini njia ya uzazi kushindwa kufunguka. Watoto wengine wanaopata tatizo hili ni wale ambao wamezaliwa na mzazi mwenye umri wa zaidi ya miaka 35. Mwanamke ajiepushe kuzaa akiwa na umri wa zaidi ya miaka hiyo.
TUNAYO TIBA YA TATIZO HILI KWA WATOTO WENYE MATATIZO KAMA HAYA, TIBA HII HUANZA KUTUMIKA KWA WATOTO WENYE UMRI WA MIEZI 6 NA KUENDELEA.
WATOTO WENGI HUONESHA MABADILIKO MAKUBWA BAADA YA MWEZI MMOJA WA MATUMIZI YA TIBA HIZI.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!