DONDOO ZA AFYA NA JINSI YA KUPUNGUZA MWILI
DONDOO ZA AFYA NA JINSI YA KUPUNGUZA MWILI
Habarini wadau...
Katika dondoo zifuatazo juu ya kupungua kutakua na hatua mbalimbali ambazo tunatakiwa tuzichukue ili kupungua....
.
Jambo la kupunguza uzito sio jambo la siku moja au wiki moja Bali ni suala endelevu na la muda kidogo.. Ninatarajia baada ya hatua zote kufuatwa kwa umakini watu tutaanza kua na miili yenye afya na shepu nzuri kuanzia miezi mitatu hadi sita kulingana na ukubwa Wa tatizo lako.
.
Niwatahadharishe tu katika safari ya kupungua ni suala la wewe mkereketwa mwenyewe uamue kwa dhati kutoka moyoni na ndipo utaweza kufuata masharti mapya na kuishi na kuyaweza kuyaishi Yale yote utakayoambiwa ufanye..
.
Zipo njia mbalimbali za kupunguza mwili kama njia za kutumia madawa na njia za kutokutumia madawa. Mara zote njia ya kutokutumia madawa hua ndo nzuri zaidi na yenye tija.Kama nilivosema NI LAZIMA UAMUE NA UKUBALI kuanzia staili Mpya ya maisha na kwa kufanya hivo ni lazima upungue.
.
.kwa utangulizi huu kama kuna mwenye swali aulize.
.
.
.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!