FAHAMU FAIDA 10 ZA MAZIWA MTINDI

MAZIWA

• • • • • •

FAHAMU FAIDA 10 ZA MAZIWA MTINDI


Hebu tazama kwa ufupi tu faida za maziwa hayo, 

Na kisha ujitwalie glass yako ya maziwa ya mtindi leo kwa manufaha ya AFYA yako. 


1-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia mfumo wa chakula kwa mtoto mdogo kuwa sawa.


2- Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia katika usagaji wa chakula tumboni.


3-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia kushambulia vijidudu vinavyo jificha tumboni visababishao magonjwa ya tumbo.


4-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia kupunguza madhara ya bacteria wa vidonda vya tumbo.


5-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia kuleta nafuu ya maumivu kwa watu wenye vidonda vya tumbo.


6-Unaweza kujipaka maziwa ya mgando kwenye ngozi hasa kama unashida ya ngozi mfano wa mapunye, miwasho, fungus n.k..


7-Kwa mwanamke mwenye kuhisi miwasho , uchafu , fungus kwenye uke wake anaweza jioshea maziwa ya mtindi kuondoa na kutibu kabisa hali yoyote kama hizo.


8-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia kuzuia bacteria wasababishao uvimbe(Saratani) hasa maeneo makuu tumboni, mifupa, ngozi, tumboni n.k..


9-Hufungua choo kwa mtoto mdogo mwenye shida ya choo kwa kipindi kirefu.


10-Hufungua mfumo wa chakula hasa kwa mtu ambaye ameshinda bila kula kwa siku nzima.


Hakikisha unakunywa glass moja kila siku kwa afya bora.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!