DALILI ZA FANGASI UKENI
Miongoni mwa magonjwa ambayo huwasumbua sana wanawake ni pamoja na hili la Fangasi wa sehemu za Siri. Japo wengine hata dalili za fangasi pia hawazijui.
Fangasi ambao husumbua sana maeneo ya siri kwa Mwanamke ni aina Ya CANDIDA ALBICANS, Fangasi hawa hushambulia sana sehemu za Siri za mwanamke au UKE.
DALILI ZA FANGASI SEHEMU ZA SIRI
- Kupatwa na miwasho sehemu za Siri au kuwashwa ukeni
- Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya pamoja na rangi kama Maziwa ya Mgando
- Ngozi inayozunguka sehemu za siri au ngozi ya mashavu ya uke kuwa nyekundu
- Kupatwa na vidonda pamoja na michubuko sehemu za Siri
- N.K
Kw ushauri zaidi,elimu au Tiba tuwasiliane kwa namba +255758286584.
afya
afyaclass
afyatips
magonjwa
magonjwa ya wanaume
magonjwa ya wanawake
magonjwa ya watoto
makala
muhimu
new
post
uzazi
videos
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!