FAHAMU MBINU ZA JINSI YA KUONGEZA UZITO WAKO WA MWILI KWA WEWE UNAYETAKA KUONGEZA UZITO
MBINU ZA JINSI YA KUONGEZA UZITO KWA WEWE UNAYEHITAJI KUONGEZA UZITO WAKO
• • • • • •
Kama ilivyokupunguza Uzito,sio kila mtu anahitaji kupunguza Uzito, kuna wengine pia huhangaika na Jinsi ya kuongeza Uzito wao. Wametumia mbinu nyingi lakini mafanikio ni kidogo au hakuna kabsa.
Kama ilivyo na madhara pale ambapo ukiwa na uzito kupita kiasi au OVERWEIGHT AU OBESITY,vivyo hivo na kuwa na Uzito Mdogo sana pia kuna madhara yake,Kama vile Vifo N.K
Hivo basi Uzito wa juu una madhara na uzito wa chini una madhara pia, Lakini Unaweza kutumia Njia na mbinu mbali mbali za kiafya ili kuongeza Uzito wako kama ilivyo katika kupunguza.
MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA KUONGEZA UZITO
1. Pendelea kula vyakula vyenye virutubisho vingi vya kujenga mwili yaani vyakula vya PROTEIN kama Samaki,Maharage,Nyama n.k
2. Fanya Mazoezi ya kujenga mwili sio ya kupunguza Uzito, Mfano mazoezi kama Jim n.k
3. Usile mlo mmoja kwa siku; kuna,watu wengi sana hujinyima Chakula cha Mchana, wakipendelea kula vitu vidogo vidogo tu, hii sio nzuri sana kwa afya yako, Kwani mbali na kutokuongezeka mwili,pia unaweza pata magonjwa Kama matatizo ya Vidonda Vya Tumbo.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KUPITIA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!