FAIDA YA TUNDA LA NANASI MWILINI

ZIPI NI FAIDA ZA TUNDA LA NANASI MWILINI?

Nanasi Lina Faida Nyingi katika mwili wa binadamu kama vile;
Tunda hili lina Vitamin A,B-6 na  C,madini ya Chuma,Calcium,copper na phosphorus,ambayo yote ni muhim sana katika afya ya binadamu.

◾Pia tunda hili husaidia kutengeneza damu, kuimarisha mifupa , meno, neva na misuli (muscles),vile vile nanasi lina uwezo wa kutibu matatizo ya tumbo, bandama na ini, husaidia kusafisha utumbo mwembamba, hutibu homa, vidonda mdomoni, magonjwa ya koo, hutibu tatizo la kupoteza kumbukumbu, hutibu kikohozi, kutetemeka na uoga (Anxiety)

.

.


◾Mananasi pia husaidia mfumo mzima wa usagaji (Mmeng’enyo) wa chakula kwani tunda hilo lina kambakamba (fibre) ambavyo husaidia sana kwenye kusagwa kwa chakula mwilini, kirutubisho cha Bromelain pia husaidia kwenye kusaga chakula tumboni kwa kusaidia kuvunja vile vipande vya protini.


◾Vitamini C inayopatikana katika tunda hilo husaidia sana kuipa ngozi mng’ao ambao unahitajika, mishipa midogo ya damu pia hufaidika sana kutokana na mananasi pamoja na viungo vingine vya mwili na mifupa pia. Cc: @afya_solution

.

.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!







0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!