FAIDA YA TUNDA LA PARACHICHI MWILINI

IJUE FAIDA YA TUNDA LA PARACHICHI MWILINI

• • • • • •

Parachichi ni tunda linalofahamika kuwa kama Nyumba ya Vitamin muhim kwa afya ya Binadamu. Parachichi lina Zaidi ya Vitamin 20 zinazofahamika kila siku pamoja na aina mbalimbali za Madini muhimu mwilini.

Zaidi ya yote lina utajiri mkubwa sana wa vitamin E ambayo hufahamika zaidi kama vitamin ya kupambana na ugumba/utasa.Hufaa sana kwa kila rika,lakini zaidi kwa wanawake wanaopitia changamoto kubwa katika kupata watoto.

Hivo basi kuna umuhimu mkubwa wa kutumia Tunda hili la Parachichi katika kumsaidia mtumiaji kuwa na afya bora ya mwili.

Je wewe ni Mlaji wa tunda aina ya Parachichi?

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!





0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!