FAIDA ZA KUTUMIA DARK CHOCOLATE KAMA WEWE NI MWANAFUNZI

ZIJUE FAIDA ZA KUTUMIA DARK CHOCOLATE KAMA WEWE NI MWANAFUNZI

• • • • • •

Pengine huu siyo msimu mzuri sana kwa wanafunzi kutokana na wingi wa kazi na kufanya na uwepo wa muda mchache sana kwa kuzikamilisha kazi hizi. Katika nyakati hizi ngumu,dark chocolate inaweza kukusaidia kuboresha utendaji kazi wa ubongo wako hasa katika kuchakata taarifa na kutunza kumbukumbu za mambo yako unayosoma pamoja na kukupunguzia stress

-

Dark chocolate zina utajiri mkubwa wa flavonoids na theobromine,ambazo huboresha usafirishwaji wa mawimbi ya taarifa kwenye sehemu ya ubongo inayoitwa hippocampus ambayo ndiyo huhusika na utunzaji wa taarifa mbalimbali. Vivyo hivyo,dark chocolate huboresha utendaji kazi za cerebrum,sehemu ya ubongo inayohusika na kusoma,kuwaza,kujifunza,hisia pamoja na matendo ya hiari yanayofanywa na misuli ya mwili kama vile kutembea

-

Unapohisi mambo yamekuwa mazito kwako,kichwa kimejaa kabisa na hakiwezi tena kupokea mafaili unayopakia kula kipande chako cha dark chocolate,tulia kidogo kisha endelea na kazi!.cc.afyainfo


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!